Back to repertoire
English
Mimi ni mzabibu
Copyright status has not been confirmed, so files are restricted to choir members.
Lyrics
Mimi ni mzabibu, mimi ni mzabibu
Nanyi ni matawi yangu *2
1. Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu -
Kwani mu matawi nami kweli ni mzabibu
2. Nje yangu mimi hamwezi kuzaa kwani . . .
3. Tawi lizaalo, lizidi kuzaa kwani . . .
4. Furaha yangu iwe ndani yenu kwani . . .
5. Ombeni lo lote, nanyi mtapewa kwani . . .
6. Amri yangu ndiyo, mpate kupendana kwani . . .
7. Niliwachagua, muwe rafiki zangu kwani . . .
8. Zaeni matunda, yapate kukaa kwani . . .
9. Mimi ni mzabibu, mimi ni mzabibu,
Nanyi ni matawi, nami kweli ni mzabibu
Liturgical seasons
Ordinary Time
Mass parts
Entrance
Offertory
Communion
Recessional